Loading...

KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

Loading...
KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA
link : KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

soma pia


KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

Mwambawahabari



Video

Qeen, Agnes Gerald maarufu kama Masogange akitoka katika mahakama ya 

Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kusomewa mastaka yanayomkabiri ya 

matumizi ya Dawa za kulevya na kesi yake kupigwa Kalenda mpaka Novemba 

14, 2017.



Video

Qeen, Agnes Gerald maarufu kama Masogange akizungumza na wakili Rouben 

Semwanza leo mara baada ya kufika katika mahakama ya hakimu Mkazi kisutu

jijini Dar es Salaam leo. 





Na Karama Kenyunko blogu ya jamii.


MAHAKAMA

ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeipiga kalenda kesi ya matumizi ya dawa za

kulevya inayomkabili  (Video Qeen), Agnes Gerald maarufu kama Masogange

hadi Novemba 14 mwaka huu ambapo shahidi wa upande wa utetezi atatoa 

ushahidi wake.


Mshtakiwa Masogangea alipaswa kuanza kujitetea leo

lakini wakili wa Serikali, Adolf Mkini aliomba  kwa Hakimu Mkazi Mkuu, 

Wilbard Mashauri kuipangia kesi hiyo tarehe nyingine.


 Masogange 

ataanza kujitetea baada ya mahakama kumkuta na  kesi ya kujibu kwa 

upande wa mashtaka kuleta mashahidi watatu na kuufunga kesi, Masogange 

pia anatarajia kuita mashahidi watatu.


Masogange anadaiwa kuwa 

kati ya Februari 7 na 14,2017 katika maeneo yasiyojulikana ndani ya jiji

la Dar es Salaam  alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin (Diacety 

Imophine).


Pia anadaiwa kuwa kati ya Februari 7 na 14,2017  alitumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam.



Hivyo makala KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

yaani makala yote KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kesi-ya-matumizi-ya-dawa-za-kulevya-ya_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA"

Post a Comment

Loading...