Loading...
title : KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
link : KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wakati wa kikao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na kulia ni Katibu Mkuu wa
UWT Amina Makilagi.
Wajumbe wakishangilia wakati wa kikao wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017
Maofisa wa UWT wakiandaa makabrasha kabla ya kuanza kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma akisalimia alipotambulishwa katika kikaocha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, (Picha na Bashir Nkoromo).
Hivyo makala KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA
yaani makala yote KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kikao-cha-baraza-kuu-la-uwt-taifa-leo.html
0 Response to "KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA"
Post a Comment