Loading...

Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani

Loading...
Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani
link : Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani

soma pia


Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe, Hamad Rashid Mohamed mara alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Islam Seif Salum (Mchenga) wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed

Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[

Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) pamoja na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani yaliyofunguliwa katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Baadhi ya Vijana waliovalia sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).

Taasisi ya utafiti wa kilimo Zanzibar wakionnesha kazi zao wanazofanya katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi waliohudhuria katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipoyafungua

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wakiwa picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kufunguliwa rasmi na Mhe.Rais Shein. (Picha na Ikulu)



Hivyo makala Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani

yaani makala yote Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kilimozanzibar-rais-dk-shein-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kilimo/Zanzibar : Rais Dk. Shein Afungua Maonesho ya Kilimo Kizimbani"

Post a Comment

Loading...