Loading...

KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA

Loading...
KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA
link : KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA

soma pia


KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA


Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana  wa UVCCM Taifa Shaka Hamidu, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kwa kurejesha mwamko ndani ya chama.

Shaka amesema kuwa katika uongozi wa Rais Magufuli kama Mwenyekiti wa Chama cha CCM, UVCCM imeweka rekodi ya kupokea maombi mengi zaidi ya watu wanaowania nafasi ya Uenyekiti Taifa kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Jumla ya vijana 113 kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamejitokeza kuwania nafasi hiyo.

“Katika uongozi wa Dkt, Magufuli akiwa Mwenyekiti wa chama limekuwa ni jambo la historia inaonyesha jinsi gani vijana wamekuwa na mwamko na hamu ya kukitumikia chama, kwakweli anastahili pongezi na hizi ni dalili nzuri kwa Chama”, amesema Shaka.

Kwa upande mwingine Shaka amesema hivi sasa zoezi linaloendelea ni usaili wa wagombea wote walioonesha nia ya kuwania uongozi ili kuwabaini na kuwapitisha wenye sifa sitahiki. Moja ya sifa kuu ya kugombea uongozi ndani ya UVCCM ni kuwa na miaka 30 au chini ya hapo ili katika uongozi wako usizidi miaka 35 kwani kila awamu ni miaka mitano.

Nafasi zinazowaniwa katika uchaguzi huo ambao mchakato wake umeanza tangu mwezi April kwa ngazi za Shina na Tawi ni Mwenyekiti, na Makamu wake, Wajumbe watano wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC), wajumbe watano wa baraza kuu la umoja huo Taifa na wawakilisha wa Jumuiya hiyo katika Jumuiya nyingine ndani ya chama


Hivyo makala KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA

yaani makala yote KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kujitokeza-wagombea-wengi-uvccm-shaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUJITOKEZA WAGOMBEA WENGI UVCCM, SHAKA AFUNGUKA"

Post a Comment

Loading...