Loading...

KUMBUKUMBU

Loading...
KUMBUKUMBU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBUKUMBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBUKUMBU
link : KUMBUKUMBU

soma pia


KUMBUKUMBU

TWAHA SALUM MATOLA
19/10/1987 – 19/10/2017
Ni miaka 30 imepita tangu ulipotuacha, kwetu tunaona ni kama jana. Tunakukumbuka sana kwa upendo wako mkubwa uliokuwa nao kwetu sisi wote, ulitusaidia wote kwa hali na mali bila kubagua. Hakika hatuwezi kusahau upendo mkubwa uliokuwa nao wa kuwajali ndugu na jamaa zako wakati wa shida na raha. Tunaendelea kukumbuka kwa upendo, ukarimu, ucheshi na malezi uliyotupa.
Unakumbukwa sana na watoto wako, ndugu na jamaa zako wote. Tunamuomba Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema, Aiweke roho yako mahala pema peponi, Akupe pepo ya firdaus.
Inna lillahi wa inna ilaihi raji’un


Hivyo makala KUMBUKUMBU

yaani makala yote KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kumbukumbu_18.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KUMBUKUMBU"

Post a Comment

Loading...