Loading...
title : KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO
link : KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO
KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO
Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed.
Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Eliud Modest.
Msanii Eliud Modest (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Akili Mohamed. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Hivyo makala KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO
yaani makala yote KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/kundi-la-spacious-africa-laja-kukomboa.html
0 Response to "KUNDI LA SPACIOUS AFRICA LAJA KUKOMBOA WASANII WA BONGO"
Post a Comment