Loading...

Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba.

Loading...
Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba.
link : Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba.

soma pia


Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba.



Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Ligi kuu Soka ya Zanzibar msimu wa mwaka 2017-2018 unatarajiwa kuanza rasmi kesho Oktoba 3 kwa kusukumwa michezo minne katika Viwanja vitatu tofauti.

Kwa upande wa Kanda ya Unguja Mabingwa watetezi wa ligi hiyo klabu ya JKU wataanza kutetea taji lao kwa kucheza na Mafunzo mchezo utakachezwa Saa 8:00 za mchana katika Uwanja wa Amaan, mchezo mwengine utapigwa saa 10:00 za jioni katika uwanja huo huo wa Amaan kati ya KMKM dhidi ya Jang’ombe Boys.

Na kwa upande wa kanda ya Pemba kesho timu ya Chuo basra wataanza ligi hiyo kucheza na Hard rock saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Gombani wakati Kizimbani     watakuwa na kazi kucheza na Wawi Star saa 10:00 za jioni katika uwanja wa FFU Finya.


Hivyo makala Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba.

yaani makala yote Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/ligi-kuu-ya-zanzibar-kuaza-kutimua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Kutimua Fumbi Kesho Katika Viwanja Vya Amaan Unguja na Gombani Pemba."

Post a Comment

Loading...