Loading...

Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13

Loading...
Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13
link : Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13

soma pia


Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13

Mwamba wahabari

Kesi inayomkabili muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo alhamisi imeendelea kusikilizwa Mahakamani ambapo washauri watatu wa Mahakama kuu wamesema mshitakiwa Lulu aliua bila ya kukusudia.

Baada ya kusikiliza maoni ya baraza la wazee leo Mahakama kuu ya tanzania, imesema Elizabeth Michael amekutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia, muigizaji mwenzake Steven Kanumba ambaye alikuwa mpenzi wake na hukumu yake itatolewa Novemba 13.

Wazee hao ambao walikuwa watatu, kila mmoja alitoa maoni yake na kusema kwamba muigizaji huyo ana hatia ya kuua bila kukusudia, kwani marehemu alikuwa na mwili mkubwa zaidi ya mshtakiwa.

Kabla ya  wazee kutoa maoni, Jaji Rumanyika ambaye ndiye anayeendesha kesi hiyo, alisoma maelezo ya ushahidi wa pande zote mbili na kusema kwamba ushahidi upande wa mashtaka umejikita katika ushahidi wa kimazingira kwa kuwa Lulu ndiye mtu wa mwisho kuwa na Kanumba, kisha kusikiliza maoni hayo.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Novemba 13, ambapo hukumu yake itasomwa.


Hivyo makala Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13

yaani makala yote Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/lulu-michael-akutwa-na-hatia-ya-kuua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Lulu Michael akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, hukumu yake kutolewa Novemba 13"

Post a Comment

Loading...