Loading...
title : MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA
link : MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA
.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack.Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Wazee mkoa wa Shinyanga, Faustine Masale Sengerema,kushoto ni Katibu mkuu wa Baraza la Ushauri la Wazee mkoa wa Shinyanga,Underson Lyimo.
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Wazee mkoa wa Shinyanga, Faustine Masale Sengerema akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee ambapo alisema wazee wanaunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Wazee wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea....
Katibu mkuu wa Baraza la Ushauri la Wazee mkoa wa Shinyanga,Underson Lyimo akisoma risala ambapo alizipongeza halmashauri zilizofanikisha zoezi la kutoa kadi za matibabu bila malipo kwa wazee zikiongozwa na halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.Aliyeshikilia kipaza sauti ni Afisa Maendeleo ya Jamii Sekretarieti ya mkoa wa Shinyanga Glory Mbia.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikabidhi kadi ya matibabu bila malipo kwa mzee Philipo Njabuga.
Hivyo makala MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA
yaani makala yote MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/maadhimisho-ya-siku-ya-wazee-duniani.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI YALIVYOFANA MKOANI SHINYANGA"
Post a Comment