Loading...

MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU

Loading...
MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU
link : MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU

soma pia


MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu October 19, 2017.
Lulu anakabiliwa na kesi hiyo akidaiwa kumuua Msanii mwenzake, Steven Kanumba bila kukusudia, kinyume cha Kifungu cha 195 cha Kanuni za Adhabu (PC), April 7, 2012, nyumbani kwa marehemu Kanumba, Sinza Vatican.
Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji ya bila kukusudia iliyotolewa na Mahakama Kuu, kesi ya Lulu itaanza kusikilizwa siku hiyo ya October 19, 2017 mbele ya Jaji Sam Rumanyika.
February 18, 2014 akisomewa maelezo ya awali (PH) alikiri Mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Kanumba na pia kuwa kulikuwepo na ugomvi baina yao siku ya tukio la kifo cha Mwigizaji huyo.
Lulu aliachiwa kwa dhamana January 29, 2013 baada ya kesi hiyo kubadilishwa hati ya mashtaka kutoka kwenye kesi ya mauaji ya bila kukusudia ambapo badiliko hilo lilimpa nafasi ya kupata dhamana.
Katika kesi ya msingi namba 125 ya mwaka 2012, inadaiwa kuwa April 7, 2012 Sinza Vatican jijini Dar es Salaam, Lulu alimuua Kanumba bila kukusudia.


Hivyo makala MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU

yaani makala yote MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mahakama-kuu-kuanza-kusikiliza-kesi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU"

Post a Comment

Loading...