Loading...

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa

Loading...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa

soma pia

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha shukrani toka kwa Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri, Sportpesa  imetoa Cheti cha Shukrani kwa Makamu wa Rais kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umechangia kuitangaza nchi kwenye michezo na utalii duniani, Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (katikati), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri (kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (kulia), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto ambao walimkabidhi Makamu wa Rais Cheti cha Shukrani kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umehamasisha michezo na utalii. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa

yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa"

Post a Comment

Loading...