Loading...
title : MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU
link : MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU
MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU
Mtaalamu wa dawa za Usingizi na ganzi wakati wa operesheni, Dk. David Chiunga, akimpima mapigo ya moyo mmoja wa wagonjwa waliofika kupata huduma za matibabu bure wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Mtaalamu wa masuala ya afya katika Hospitali ya Marie Stopes, Neema Mgumba akimpima mapigo ya moyo mmoja wa wagonjwa waliofika kupata huduma za matibabu bure wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Mtaalamu wa masuala ya afya katika Hospitali ya Marie Stopes, Joan Rwechungura akichukua sampuli ya damu kutoka kwa mmoja wa wagonjwa waliofika kupata huduma za matibabu bure wakati wa hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Hivyo makala MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU
yaani makala yote MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/marie-stopes-tanzania-yatoa-huduma-ya.html
0 Response to "MARIE STOPES TANZANIA YATOA HUDUMA YA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA WA SIKU TATU"
Post a Comment