Loading...

Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini

Loading...
Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini
link : Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini

soma pia


Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Mwenyekiti wa Kamati ya Kwanza ya Makinikia Profesa Abdulkarim Mruma cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Mama Fatuma Ndugai ambaye ni Mke wa Spika Mhe. Job Ndugai cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu wa Bunge Mhe. Stephen Kagaigai baada ya kumtunuku Spika Job Ndugai (kupitia kwa mkewe Mama Fatuma Ndugai) cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Frolens Luoga cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu baada kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Mhe Mussa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa kamati Maalumu ya Bunge ya kuchunguza mfumo bora wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa biashara ya Madini ya Almasi wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Ally akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.


Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa UDP Mhe John Cheyo katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi na wageni wengine kupata chakula cha mchana baada ya hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Gavana wa Benki Kuu mteule Profesa Frolens Luoga
PICHA NA IKULU


Hivyo makala Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini

yaani makala yote Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/matukio-taswira-mbalimbali-ya-rais-dk_24.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Taswira Mbalimbali ya Rais Dk. Magufuli akitunuku Vyeti kwa Kamati za Madini"

Post a Comment

Loading...