Loading...
title : Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini
link : Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini
Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akikabidhi zawadi kwa Mwalimu wa shule ya Sekondari Royola , Venancy Robert mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa sekondari zote nchini
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Royola,Ashraf Raphael mara baada ya kuibuka bingwa wa kitaifa katika uandishi wa Insha
Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,Prof Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Insha za uandishi wa majengo
PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO
Hivyo makala Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini
yaani makala yote Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/matukio-waziri-mbarawa-asisitiza-juu-ya.html
0 Response to "Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini"
Post a Comment