Loading...

MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA

Loading...
MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA
link : MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA

soma pia


MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA

Mwambawahabari

DSC_0485
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Juma kushoto akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed wapili kushoto na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh watatu kushoto wakiangalia Ngoma za Utamaduni kabla ya kuondoka Zanzibar na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
DSC_0516
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Jumaakipeana mikono na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh ikiwa ni ishara ya kuagana na kuondoka Zanzibar kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
DSC_0520
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akipeana mikono na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh ikiwa ni ishara ya kuagana na kuondoka Zanzibar kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
DSC_0551
-Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
DSC_0558
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
DSC_0577
Balozi mdogo wa Oman katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaefanyia kazi zake Zanzibar Dkt, Mohammed Bin Hamad Al Rumh akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR


Hivyo makala MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA

yaani makala yote MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/meli-ya-kifahari-ya-flk-al-salamah_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MELI YA KIFAHARI YA FLK AL SALAMAH YAONDOKA"

Post a Comment

Loading...