Loading...
title : MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR
link : MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR
MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Meli ya BGP EXPLORER kutoka China itayoshughulika na Utafiti wa Mafuta na Gesi ambayo imezinduliwa na Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.kulia ni Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama.
Hivyo makala MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR
yaani makala yote MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/meli-ya-utafiti-wa-mafuta-na-gesi.html
0 Response to "MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR"
Post a Comment