Loading...
title : MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE
link : MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE
MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akikagua mradi mkubwa wa ujenzi wa tanki la maji wa ujazo wa lita laki Tano unaofanywa na m/s singilimo enterprises ltd ambapo utagharimu kiasi Shilingi 557073162/= ambapo utakapokamilika januari mwakani utawezesha watu zaidi ya watu 20000 wa i Kata ya tumba na Isongole na maeneo jirani wilayani ileje kupata Maji Safi na Salama kwa uhakika zaidi.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akimsikiliza Mhandisi wa Mradi Mkubwa wa Maji unao hudumi kata ya Itumba na Isongole kwa zaidi ya lita 5000
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ileje Haji Mnasi akikagua mradi mkubwa wa ujenzi wa tanki la maji wa ujazo wa lita laki tano unaofanywa na m/s singilimo enterprises ltd ambapo utagharimu kiasi Shilingi 557073162/= ambapo utakapokamilika januari mwakani utawezesha watu zaidi ya watu 20000 wa i Kata ya tumba na Isongole na maeneo jirani wilayani ileje kupata Maji Safi na Salama kwa uhakika zaidi.
--
Hivyo makala MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE
yaani makala yote MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mkurugenzi-ileje-aridhishwa-na-kasi-ya.html
0 Response to "MKURUGENZI ILEJE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MRADI TANKI LA MAJI ITUMBA ISONGOLE"
Post a Comment