Loading...
title : Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba
link : Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba
Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba
Mfanyakazi wa kituo cha nunulia Karafuu cha Mkoani Bandarini, akishona Karafuu ambazo zimeshakaguliwa kwa mujibu wa madaraja yake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC),Said Abdalla Mzee, akiangalia Karafuu ambazo zimeletwa na Mkulima wa Zao hilo kwa ajili ya kuuza katika Kituo cha Ununuzi cha Mkoani, Bandarini Pemba
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Said Abdalla Mzee, akiangalia magunia ya Karafuu ambazo tayari zimeshanunuliwa na Shirika hilo huko mkoani Bandarini.
mdhamini wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC)Pemba, Abdalla Ali Ussi , akiangalia karafuu ambazo zimemiminwa katika Kituo cha mauzo ya karafuu huko Mkoani bandarini-Pemba
PICHA NA JAMILA ABDALLA SALIM-MAELEZO.
Hivyo makala Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba
yaani makala yote Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mkurugenzi-mtendaji-zstc-akagua.html
0 Response to "Mkurugenzi Mtendaji ZSTC akagua maendeleo ya ununuzi wa karafuu kisiwani Pemba"
Post a Comment