Loading...

Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari

Loading...
Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari
link : Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari

soma pia


Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari

Mwambawahabari

judi
 Mrembo Julitha Kabete (Katikati) mara baada ya kushinda taji la miss Ilala mwaka jana.
……….
Na Mwandishi wetu
Uongozi wa Kampuni ya Lino International Agency Limited ambayo inaandaa  mashindano ya urembo ya Miss Tanzania imemteua Julitha Kokumanya Kabete kuwaikilisha Tanzania katka mashindano ya dunia yaliyopangwa kufanyika Sanya, nchini China mwezi ujao.
Afisa Habari wa Lino International Agency Limited, Hidan Ricco amesema kuwa tayari jina la mrembo huyo limekwishwa wasilishwa kwa waandaaji wa mashindano hayo yaliyopangwa kufanyika  Novemba 18, kwenye ukumbi wa Crown of Beauty Theatre.

Ricco amesema kuwa  mrembo huyo ambaye ni ambaye ni mshindi wa shindano la Miss Dar Centre,  Miss Ilala na mshindi wa tano wa mashindano ya Miss Tanzania mwaka jana,  kwa sasa yupo katika maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mashindano hayo.
Alisema kuwa uteuzi wa Mrembo Julitha Kabete umezingatia uzoefu wa mashindano ya urembo alionao, uwezo wake katika Tasnia ya urembo, uelewa wa vivutio vya utalii na raslimali tulizonazo hapa nchini, pamoja na nidhamu ya hali ya juu aliyonayo mrembo huyu tangu mwanzo anashiriki mashindano ya urembo ya Miss Tanzania katika ngazi ya Kitongoji, Mkoa, Kanda hadi Fainali za Taifa kwa mwaka 2016.
“Julitha  pia alipata fursa ya kushiriki mashindano ya urembo ya Afrika 2016 (Miss Afrika 2016) yaliyofanyika nchini Nigeria na alituwakilisha vizuri tu, na hivyo kupata uzoefu wa kutosha, jambo ambalo pia litaongeza uwezo wake wa kutuwakilisha vema katika Mashindano ya urembo ya Dunia 2017,” alisema Ricco.
Mashindano ya Miss Tanzania yanayoendelea katika sehemu mbalimbali ambapo fainali zake zitafanyika hapo baadaye.
Alisema kuwa mshindi wa mwaka huu atawakilisha nchi yetu katika mashindano ya urembo ya Dunia hapo mwakani 2018, hivyo kupata muda wa kutosha wa matayarisho.
“Hii sio mara ya kwanza kwa mrembo wa Taifa wa mwaka huu kuwakilisha nchi yetu katika mashindano ya Dunia mwaka unaofuata, mwaka 2012 Miss Tanzania Brigitte Alfred aliwakilisha nchi yetu katika mashindano ya urembo ya Dunia mwaka 2013, Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa aliwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya Dunia mwaka 2014,” alisema Ricco.


Hivyo makala Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari

yaani makala yote Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mrembo-julitha-kabete-kuiwakilisha_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mrembo Julitha kabete kuiwakilisha Tanzania Miss World 2017 China Mwambawahabari"

Post a Comment

Loading...