Loading...

MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA.

Loading...
MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA.
link : MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA.

soma pia


MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA.


Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii

Kampuni ya Msama Auction Mart imempongeza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kauli yake kuhusu wizi wa kazi za sanaa nchini.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Alex Msama amesema kuwa Kampuni yao imeona kuwa Waziri huyo ameonesha nia yakupoteza kabisa kazi feki za Sanaa.

Hatua hiyo ya Waziri pia itawagusa wenye kazi zao ambao ni Wasanii wa kazi hizo ikiwemo Wasanii wa Bongo Fleva, Nyimbo za Injili, Maigizo na Filamu.

Msama amesema kuwa doria za kumaliza wizi huo wa kazi za Wasanii inaendelea kwa nchi nzima, ambapo Mkoa mmoja tu ndiyo wenye ahueni yakupunguza wizi huo ambao ni Mwanza.

"Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inategemea kuanza zoezi lakumaliza kazi feki za sanaa nchini, zoezi ambalo lisilokuwa na mwisho", amesema Msama.

Pia Msama ameonya wale wote wanaofanya biashara za kuuza kazi feki, ambapo amesema kuwa watakapokamata Kompyuta za kufanyia kazi hizo basi hazitarudi tena kwa wahusika.

Wafanyabiashara wa Filamu za Nje nao wametakiwa kuacha kufanya biashara hizo bila kibali cha mwenye kazi husika, kwani hatua hiyo inaikosesha Serikali mapato.


Hivyo makala MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA.

yaani makala yote MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/msama-auction-mart-yapongeza-kauli-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSAMA AUCTION MART YAPONGEZA KAULI YA WAZIRI DKT. MWAKYEMBE KUTOKOMEZA KAZI FEKI ZA SANAA."

Post a Comment

Loading...