Loading...
title : MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN
link : MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN
MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN
Kwa wale wakazi wote wa nchi ya Sweden na nchi jirani za skandinavia mtakuwa na usiku wa burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa kimataifa kutokea Sweden Tanzania Uganda na nchi nyingine kadhaa kwenye usiku wa kuitangaza nchi ya Tanzania kwa vivutio vyake vya utalii ikiwemo mlima mrefu barani Afrika Kilimanjaro.
Tunayofuraha kwamba msanii nyota wa mziki wa Bongoflaver Shetta atakuwepo kukuletea burudani kabambe ya mziki .
Usikose kuhudhuria !
Ni tarehe 14 Oktoba
Ukumbi ni kulturhuset Örebro
Järnvägsgatan 8 Örebro Sweden .
Ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwezako.
Hivyo makala MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN
yaani makala yote MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/msanii-shetta-kunogesha-usiku-wa_8.html
0 Response to "MSANII SHETTA KUNOGESHA USIKU WA KILIMANJARONIGHT ÖREBRO SWEDEN"
Post a Comment