Loading...

MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA

Loading...
MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA
link : MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA

soma pia


MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Bohari ya Dawa nchini imewataka Wakurugenzi wa Halmashauri na Wenyeviti kuwasilisha mahitaji ya dawa na vifaa tiba vya Hospitali zao kabla ya tarehe 31 mwezi Januari kila mwaka,ili kuwasaidia kuharakisha hatua za manunuzi.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa huduma kwa wateja na Shughuli za Kanda MSD Daud Msasi alipokuwa akizungumza na Mwandishi wa globu ya Jamii wakati kwenye Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (ALAT.

Msasi amesema kuwa Halmashauri zinapaswa kupeleka mahitaji halisi kulingana na bajeti walizonazo kwani kufanya hivyo itasaidia katika kupanga manunuzi ya vitu vinavyohitajika.

“Mahitaji yanatakiwa kuwahi kabla ya tarehe 31 mwezi wa kwanza. hii itasaidia sisi kwenda sokoni kwa wazalishaji na Viwandani hili kuweza kupata dawa kwa haraka” amesema Msasi.

Ameongeza mara baada ya tamko la Rais Dk John Magufuli kuagiza dawa zote ziagizwe na Bohari ya Dawa kwa sasa wameweza kupata dawa kwa bei raisin a zenye ubora unahohitajika.

Amesema kuwa licha ya MSD kuwa na mafanikio makubwa katika usambazaji wa dawa katika Halmashauri na Hospitali za mikoa pia mpango huo umesaidia kwa kiasi kikubwa kuepukana na ubabaishaji uliokuwa ukiletwa na watu wa kati.

Amemaliza kwa kutoa wito kwa Halmashauri zote nchini kusimamia vizuri vyanzo vyao vya mapato vinavyohusu huduma za afya hili waweze kulipa madeni yao kwa wakati.
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja na Shughuli za kanda -MSD ,Daudi Msasi akimuonesha mmoja wa Wateja vifaa tiba wakati wa Maonesho ya mkutano wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (ALAT)
Afisa Huduma kwa wateja MSD kanda ya Dar es Salaam Florida Siang'a akimuonesha bidha mmoja wa wateja waliotembelea banda lao katika Maonesho ya mkutano wa 33 wa Alat
Wafanyakazi wa Bohari ya dawa ya MSD wakito huduma kwa wageni waliofika katika mkutano wa 33 wa ALAT


Hivyo makala MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA

yaani makala yote MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/msd-yawataka-wakurugenzi-wa-halmashauri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSD YAWATAKA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPELEKA MAHITAJI YA VIFA TIBA NA DAWA MAPEMA"

Post a Comment

Loading...