Loading...

Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo

Loading...
Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo
link : Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo

soma pia


Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu
Tamasha la nne linalojumuisha muziki wa kiasili na kimataifa nchini, linalojulikana kwa jina la kigeni kama Karibu Music Festival linatarajia kutimua vumbi Ijumaa hii katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo Mkoani Pwani, ambapo vikundi zaidi ya 30 vinatarajiwa kutoa burudani bure kwa Wakazi wa Bagamoyo kwa siku tatu mfululizo.
Mratibu wa Tamasha hilo maarufu duniani Richard Lupia ameiambia Mdimuz Blog kwamba maandalizi ya tamasha hilo lenye lengo la kukutanisha marafiki, kukuza sanaa na utamaduni pamoja na kuitangaza Tanzania nje ya mipaka yake yamekamilika, na tayari makundi kutoka nje ya nchi yatakayohusika na utumbuizaji katika tamasha hilo yameanza safari ya kuja Tanzania.
 Lupia ametaja baadhi tu, ya wasanii kutoka nje ya nchi wanaokuja kushiriki tamasha hilo kuwa ni pamoja na Jackie Paladino kutoka Marekani, De Lukes na Selmor Murtukudzi kutoka Zimbabwe, Total Hp Hop Replacement judoka Denmark, Bernice Boikanyo kutoka Afrika ya kusini, Motra Music na Fadhilee Itulya kutoka Kenya na Nigun Yerushalmy kutoka Israel.
Pamoja na maonesho ya jukwaani, Yamaha pia litaambatana na semina kwa wasanii wa ndani ambapoembat watakuwa wakiongezewa uelewa juu ya sanaa na utamaduni katika ngazi ya kimataifa na pia hapo hapo uwanjani kutakuwa na maonesho ya kazi za sanaa ya mikono.
Kwa upande wa Tanzania wasanii watakaowakilisha watakuwa ni Laveda, Wamwiduka Band, Safi Theatre, Wahapahapa, GodyKaozya, Jwagwa Music na Dus Top Acoustic.
Bw Lupia amewahakikishia wakazi wa Bagamoyo burudani iliyotawaliwa na usalama wa hali ya juu huku akisisitizwa kwamba vikundi alivyovtaja kushiriki tamasha ni baadhi tu ya vikundi, kuna zaidi ya burudani katika tamasha la mwaka huu. 
Tamasha litaanza Ijumaa Novemba 3, 2017  na kumalizika Jumapili  Novemba 5, mwaka huu





Hivyo makala Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo

yaani makala yote Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/msimu-wa-nne-wa-karibu-festival-kutimua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msimu wa nne wa Karibu Festival kutimua vumbi Ijumaa hii Bagamoyo"

Post a Comment

Loading...