Loading...
title : MVUA YAUA WATU WANNE DAR
link : MVUA YAUA WATU WANNE DAR
MVUA YAUA WATU WANNE DAR
Baadhi ya nyumba jijini Dar es Salaam zilizokubwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha |
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu wanne wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa muda wa saa 26 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam
"Jana tulipokea taarifa za watu wawili leo Ijumaa asubuhi tumepokea taarifa za watu wawili tena hivyo mpaka sasa tuna idadi ya watu wanne," amesema.
Amesema bado wanaendelea kukusanya taarifa
Hivyo makala MVUA YAUA WATU WANNE DAR
yaani makala yote MVUA YAUA WATU WANNE DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MVUA YAUA WATU WANNE DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mvua-yaua-watu-wanne-dar.html
0 Response to "MVUA YAUA WATU WANNE DAR"
Post a Comment