Loading...

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA

Loading...
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA
link : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA

soma pia


NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA

Mwambawahabari
1
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mwenyesuti), akiangalia namna shughuli za upimaji wa magari zinavyoendeshwa katika mzani wa Tinde, mkoani Shinyanga. Kushoto kwake ni Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), wa mkoa huo, Mhandisi Mibala Ndilindi.
2
Msimamizi wa shughuli za mzani wa Tinde kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS),mkoani Shinyanga, Bw. Lugembe Vicent (kushoto), akitoa taarifa ya kiutendaji ya mzani huo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa. Mzani huo unapima magari 300 kwa siku.
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akiangalia namna watumishi wa mzani wa Tinde, mkoani Shinyanga wanavyopima na kurekodi taarifa za magari yanaoingia kupima uzito kwenye mzani huo.
4
Magari yakiwa katika foleni kusubiri huduma za upimaji uzito ili kuendelea na safari kwenye mzani waT inde, mkoani Shinyanga.
5
Muonekano wa barabara ya Uyovu- Bwanga (KM 45) kwa kiwango cha lamii iliyopo mkoani Geita, ikiwa imekamilika kwa asilimia 98.
………………….



Wafanyakaziwamizaninchiniwametakiwakufanyakazikwaweledi, uadilifunakuachananavitendovyarushwailikuletatijanaufanisiwakazizao
katikausimamiajinaulinziwabarabaraambazoSerikaliimekuwaikitumiagharamakubwakatikaujenzi wake.

HayoyamesemwanaNaibuWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, leomkoaniShinyanga, alipokuwaakikagua  mzaniwaTinde(Shinyanga), naMwendakulima (Kahama),  ambapoamesisitizaushirikianokatiyawafanyakazihaonamaderevailikutatuachangamotozinazojitokezakatika  vituovyamizani.

“Watumishinamaderevashirikianenikutokomezavitendovyarushwa, kamwemsijihusishekutoawalakupokearushwailikupatahudumazaharaka, tukikubainitutakuchukuliahatua kali zakisheria”, amesemaNaibuWaziriKwandikwa.

Aidha, ametoawitokwamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokufuatautaratibuwakuchukuastikahizomahalihusikailikuepusha usumbufunamsongamanowamagarikatikavituovyamizani.
Akiwakatikaeneo la sehemuyamaegeshonakulazamagarimjiniKahamaNaibuWaziriKwandikwa, ametoawitokwaviongoziwaHalmashaurihiyokuchukuahatua kali kwamaderevawanaopakinjeyaeneohilo, ilikudhibitiuchafuziwamazingiraunaowezakufanywanabaadhiyamadereva hao.

AmeshaurikwauongoziwaHalmashaurihiyokuonanamnayakujengamaegeshomenginekamahayoilikupatachanzo cha mapatonakusaidia kuujengamjikuwanaTaswiranzuri.

Kwaupande wake, MenejawaWakalawaBarabara (TANROADS), mkoaniShinyanga, MhandisiMibalaNdilindi,amethibitishakuwepokwavitendovyarushwakwabaadhiyawafanyakaziwamizaninchiniambapoamefafanuakatikakupambananasualahilokwawatumishiwamkoa waketayarimweziuliopitaamewachukuliahatuazakinidhamuwatumishiwatatuwamzaniwaMwendakulima.
Naye, MsimamiziwashughulizamzaniwaMwendakulimakutoka TANROADS Shinyanga, Bi HeriethMonjesa,amesemakuwachangamotozamsongamanowamagarikatikamizanizinasabaishwanabaadhiyamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokushindwakufuatautaratibu, hivyokupelekeausumbufukwawahudumunawatumiajiwenginewamizani.

Katikahatuanyingine, NaibuWaziriKwandikwa, amekaguabarabarayaUyovu-  Bwanga (KM 45), ambapoujenzi wake kwasasaumefikaasilimia 98 namkandarasiamebakishakazizaujenziwamiferejinauwekajiwaalamazabarabarani.

ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-kwandikwa-awataka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA"

Post a Comment

Loading...