Loading...
title : Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA
link : Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (kulia) alipofanya ziara TCRA kuangalia namna taasisi hiyo inavyosimamia maudhui ya vyombo vya habari nchini leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (katikati) akizungumza alipomtembeza Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza kuangalia gari lililofungwa mtambo wa kusimamia masafa ya redio nchini wakati wa ziara yake TCRA leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akikagua ofisi za Idara ya uhariri na uchapishaji alipotembelea ofisi za Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kukagua na kuona shughuli zinazofanywa na Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji BAKITA Dkt. Suleiman Sewangi
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akipokea kamusi kutika kwa mtumishi wa BAKITA Bibi. Wema Msigwa alipofanya ziara katika ofisi za BAKITA leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji BAKITA Dkt. Suleman Sewangi
Hivyo makala Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA
yaani makala yote Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wizara-ya-habari-utamaduni_25.html
0 Response to "Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza atembelea TCRA na BAKITA"
Post a Comment