Loading...
title : NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017
link : NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017
NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017
Miss Higher Learning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa rasmi na kuvishwa Taji katika shindano la Miss Vyuo Vikuu lililofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa pili, Queen Elizabeth Makune (kushoto) ni mshindi wa tatu, Melody Thomas. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Shindano hilo pia lilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti kama JK Comedian Jukwaani, Msaga sumu na Barnaba Boy.
Sehemu ya wageni waliofika kushuhudia shindano hilo wakiwa katika meza za VIP
Shoo ilianza kama hivi kwa kufungua na shoo ya pamoja
Miss Higher Learning 2016, Laura Kway, akimvisha Taji Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, baada ya kutangazwa mshindi.
Miss Higher Learning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017
yaani makala yote NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/nelly-kazikazi-atwaa-taji-la-miss.html
0 Response to "NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHER LEARNING 2017"
Post a Comment