Loading...

NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA

Loading...
NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA
link : NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA

soma pia


NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA

Barrick Gold Corporation yenye makao yake jijini Toronto, Canada, litaunda kampuni mpya (sio Acacia) kuendesha migodi yake ya Bulyanhuru, Buzwagi na North Mara nchini Tanzania.
Katika taarifa yake juu ya makubaliano na serikali ya Tanzania yaliyofikiwa juzi jijini Dar es salaam, Shirika hilo limesema msimamo wa uwazi ulioafikiwa baina ya washirika (Tanzania na Barrick) ndio utaoainisha namna kampuni hiyo mpya itafanya shughuli zake.
"Kwa mfano Serikali ya Tanzania itashiriki katika maamuzi yahusuyo shughuli, uwekezaji, mipango, manunuzi na masoko (ya kampuni hiyo mpya itapoanzishwa)", sehemu ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Makamu wa Rais Mwandamizi  wa Barrick Gold anayeshughulikia Shughuli za Uwekezaji na utawala Bw. Daniel Oh na Makamu wa Rais Mwandamizi wa Barrick anayeshughulikia Mawasiliano Bw. Andy Lloyd.
Taarifa imesema kampuni hiyo mpya itaajili Watanzania, itawajengea uwezo wazawa  katika ngazi zote, kuanzia uanachama wa bodi hadi shughuli zote, na kwamba itaongeza ununuzi wa bidhaa na huduma ndani ya Tanzania katika kuhakikisha faida  ya dhahabu inaifaidisha nchi.
Taarifa hiyo imethibitisha kwamba faida ya kiuchumi kutoka katika migodi hiyo mitatu itagawanwa nusu-kwa-nusu ama 50-kwa-50 baina ya kampuni hiyo mpya na serikali ya Tanzania,  faida yake  ya kiuchumi ikitokana na mirahaba na kodi huku asilimia 16 ikibakia pale pale.



Hivyo makala NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA

yaani makala yote NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/news-alert-barrick-gold-corporation.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: BARRICK GOLD CORPORATION KUUNDA KAMPUNI MPYA KUENDESHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI TANZANIA"

Post a Comment

Loading...