Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
link : RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipakua chakula na mmoja wa vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru aliowaalika kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017.
Picha ya pamoja.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-apata-chakula-cha.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR"
Post a Comment