Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA
link : RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA
RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton akiwa na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William huku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Florens Luoga nao pia wakiweka saini ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton wakimsikiliza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba akitoa muhtasari wa ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-apokea-taarifa-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MAKUBALIANO YA KAMATI ZA TANZANIA NA KAMPUNI YA BARRICK GOLD KUHUSU MAKINIKIA"
Post a Comment