Loading...

RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Loading...
RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI
link : RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

soma pia


RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia Friji la mbao na Vifaa mbali mbali mbali vilivyotengenezwa na Jeshi la JKU wakati alipotembelea katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (wa pili kulia) Waziri wa kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Meza za Skuli (Madeski) na Makabati yaliyotenmgenezwa na JKU wakati alipotembelea maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) Waziri wa Nchio Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kher.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Mashine ya kuchambulia Mahindi ya Taasisi ya Kilimo ya EGYPT ZANZIBAR JOINT FARM wakati alipotembelea maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) Meneja wa mradi Dr.Reda Abdalla Abdelaziz.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi Dr.Reda Abdalla Abdelaziz,(wa pili kulia) katika Taasisi ya Kilimo ya EGYPT ZANZIBAR JOINT FARM wakati alipotembelea maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Asali wakati alipotembelea banda la JKU katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Nahodha Khamis Mnungwi (kulia) kuhusu masuala ya Uvuvi mara alipokuwa akiangalia Samaki wakati alipotembelea banda la JKU katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (katikati) Waziri wa kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Hoska Gonza Mbilinyi Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Kusimamia Umuhimu wa Bahari Kuu wakati alipotembelea banda la Taasisi hiyo katika maonesho mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana (kushoto) Waziri wa kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamada Rashid Mohamed,

Picha na Ikulu.


Hivyo makala RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

yaani makala yote RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-shei-ashiriki-maonesho-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT SHEI ASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI"

Post a Comment

Loading...