Loading...

Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

Loading...
Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge
link : Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

soma pia


Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bi. Janeth Masaburi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mhe. Rais Magufuli amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10 watakaokuwa miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bi. Janeth Masaburi ataapishwa kulingana na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam



Hivyo makala Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

yaani makala yote Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-amteua-janeth-masaburi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge"

Post a Comment

Loading...