Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA
link : RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA
RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12 (3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, amefuta uteuzi wa MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA NDUGU MOHAMMED HAFIDH RAJAB kuanzia leo tarehe 12 Oktoba, 2017.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO
ZANZIBAR
12 OKTOBA, 2017
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-afuta-uteuzi.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AFUTA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA"
Post a Comment