Loading...
title : Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko.
link : Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko.
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyokilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Viongozi wengine wa Wizara hiyo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Juma Ali Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Mshauri wa Rais,Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Ali Khamis Juma (kulia)
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-dk-ali-mohamed-shein.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko."
Post a Comment