Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO
link : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO

 Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja
 Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali (kulia) akiwasilisha taarifa ya  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017  katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Viongozi wengine wa Wizara hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Juma Ali Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo   Mshauri wa Rais,Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa  na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Ndg. Ali Khamis Juma. Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-dktshein-azungumza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO"

Post a Comment

Loading...