Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Khamis Ramadhan Abdala kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Aziza Iddi Suwedi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.George Joseph Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar
Baadhi ya Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioapishwa leo na Viongozi wengine kazi iliyofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kutoka kulia)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakipitia hati zao za viapo kabla ya kuapishwa Rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kushika wadhifa walioteuliwa hafla ya kiapo ilifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 02/10/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Awaapisha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Viongozi Wengine Ikulu leo"
Post a Comment