Loading...
title : SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)
link : SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)
SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)
Ofisi ya Msajili wa NGOs inapenda kuujulisha umma kuwa imesimamisha shughuli za Shirika la COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA) kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2017 ili kupisha uchunguzi unaofanywa dhidi ya tuhuma za shirika tajwa kujihusisha na uhamasishaji wa vitendo vya ndoa za jinsia moja katika maeneo mbalimbali nchini.
Shirika tajwa pamoja na tuhuma mbalimbali zilizopo, linatuhumiwa kuratibu warsha kuhusu masuala ya ndoa za jinsia moja tarehe 17 Oktoba, 2017 katika hoteli ya Peacock, Ilala – Dar es Salaam.
Kwa taarifa hii uongozi wa Shirika unaagizwa kusimamisha shughuli zake zote ikiwa ni pamoja na kufunga ofisi zote za Shirika hadi uchunguzi utakapokamilika. Ikumbukwe kuwa ndoa za jinsia moja hazikubaliki nchini kwani ni kinyume na mila, desturi na sheria za nchi.
M.S. Katemba
MSAJILI WA NGOs
Hivyo makala SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)
yaani makala yote SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/serikali-yasimamisha-shughuli-za-ngo-ya.html
0 Response to "SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)"
Post a Comment