Loading...

Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba

Loading...
Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba
link : Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba

soma pia


Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba



mwambawahabari
Leo Oktoba 19, 2017 mahakama kuu chini ya Jaji Sam Rumanyika imeanza kuisikiliza shauri la kesi ya jinai namba 125 ya mwaka 2012, Inayomkabili  Msanii Elizabethi Michael ya kumua msanii mwenzie Steven Kanumba bila kukusudia mbapo leo upande wa jamhuri ulikuwa na Mashahidi 2 na shahidi namba moja alikuwa ni Mdogo wake Steven Kanumba Aliyejimabulisha kama Seth Bosco, lakini shahidi wa pili aliomba udhuru wa kutofika leo.

Katika maelezo ya Shahidi Seth Bosco akiongozwa na wakili wa Jamhuri Faraja George ameieleza mahakama kuwa Kanumba ndiye aliye mfungulia mlango Lulu, na alipofika ndani baada ya muda kidogo yeye akiwa chumbani kwake alianza kusikia mvutano wa sauti ya Kanumba ikimwambia Lulu

"kwanini Unaongea na 'Boyfriend' wako mbele yangu?" Mabishano yalianzia kwenye korido, na baada ya kuingia chumbani zilianza kusikika kelele

Baada ya muda mfupi Lulu aliinita na kuniambia Kanumba ameanguka najaribu kumwagia maji naona haamki, nilipoingia chumbani nikweli nilikuta yuko chini akiwa ameegemea ukuta, nikamchukua nikamlaza chali na ndipo nilipoanza kumtafuta Daktari wake anayeitwa Paplas Kageiya, daktari alipofika alimfanyia 'Chek up' akasema ameshafariki, akashauri tumpeleke Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, niliendesha gari mpaka muhimbili, tulipofika muhimbili kwenye kitengo cha dharura walituambia tukatafute utaratibu wa kipolisi, wakati wao wanaandaa vibali vya kuruhusiwa apelekwe mochwari, Baada ya mahojiano ya Polisi katika kituo cha urafiki Ubungo, niliondoka na Askari kurudi nyumbani kwaajili ya uchunguzi, baada ya polisi kufika pale wakiwa chumbani wanaendelea na uchunguzi walikuta Panga chini ya kitanda" Alisema shahidi Seth Bosco

Baada ya ushahidi huo, mahakama imeahirisha shauri hilo hadi kesho Oktoba 20, 2017 kwaajili ya kuendelea kusikiliza mashidi wengine Wanne kutoka upande wa Jamhuri.

Upande wa mshtakiwa unaongozwa na Wakili Msomi Peter Kibatala.

Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa kwa siku tatu mfulilizo, ingawa Jaji Rumanyika ameelekeza upande wa mstakiwa na Jamhuri kuona kama wnaweza kutumia hata siku mbili kuisikiliza na siku ya tatu ikatumika kuandika hukumu.


Hivyo makala Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba

yaani makala yote Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shahidi-wa-kwanza-alivyotoa-ushahidi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Shahidi wa kwanza alivyotoa ushahidi wake kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba"

Post a Comment

Loading...