Loading...

SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA

Loading...
SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA
link : SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA

soma pia


SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA

Chaneli ya Sinema Zetu inayopatikana katika Televisheni ya Azam, leo imetangaza rasmi uzinduzi wa Tamasha lake lakutoa Tuzo na mchango wa tasnia ya Bongo Movies maarufu 'Sinema Zetu International Film Festival' litakalofanyika kuanzia January Mosi, 2018 hadi February 28, 2018.

Katika Tamasha hilo pia kutakuwa na Shindano litalokusanya Filamu zaidi ya 150 kutoka Mikoa mbalimbali kama Morogoro, Mwanza, Dodoma ambapo jumla ya Mikoa nane.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Kiongozi Mkuu wa Tamasha hilo, Jacob Joseph amesema kuwa watazunguka Mikoa Sita kwa ajili ya kuzungumza na Wadau wa tasnia hiyo ikiwa sambamba na kutoa elimu yakutosha na kuweka uelewa juu ya Tamasha hilo.

Mshauri wa Tamasha hilo, Prof. Martin Mhando amesema kuwa Shindano hilo la Filamu katika Televisheni litakuwa na vipengele vitatu ambapo litahusisha Bongo Movies 'Filamu Kubwa', Filamu Fupi za dakika 45, pia Makala za Filamu nazo zitahusika.

Balozi wa Tamasha hilo, Elizabeth Michael 'Lulu' ameshukuru kupewa ubalozi katika Tamasha hilo ikizingatiwa kwamba yeye ni Msanii atakayebeba Nembo ya Taifa la Tanzania katika nchi jirani zitakazoshiriki Tamasha hilo kwa Ukanda wa Afrika Mashariki.
 Mshauri wa Tamasha hilo, Prof. Martin Mhando akifafanua jambo kwa Wanahabari kuhisiana na Tamasha hilo linavyoleta mapinduzi katika Lugha ya Kiswahili nchini Tanzania.
 Balozi wa Tamasha hilo la SZIFF, Elizabeth Michael maarufu kama LULU akieleza jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusu Tamasha hilo la Kimataifa la Sinema Zetu na jinsi atakavyoshiriki kama Msanii wa Bongo Movie.
 Kiongozi Mkuu wa Tamasha la Filamu Kimataifa, Jacob Joseph akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar katika uzinduzi wa Tamasha hilo litakaloanza kufanyika January Mosi hadi February 28, 2018.



Hivyo makala SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA

yaani makala yote SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/sinema-zetu-azam-yaja-na-tamasha-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SINEMA ZETU AZAM YAJA NA TAMASHA LA FILAMU KIMATAIFA"

Post a Comment

Loading...