Loading...

TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI

Loading...
TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI
link : TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI

soma pia


TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI


Na Fredy Mgunda,Iringa.

BARAZA la Vyama vya hiari na Maendeleo ya Jamii (TACOSODE) limesema wananchi wamekuwa na uelewa kuhamasisha bajeti kuwa na kipaumbele kwa changamoto zinazowakabili.

Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Miradi wa Tacosode, Theofrida Kapinga wakati akizungumza semina ya kujadilia jinsi gani ya kutatua changamoto zinazoikumba sekta ya afya iliyofanyika katika ukumbu wa valentine Manispaa ya Iringa.

“Unajua zamani wananchi hata viongozi wa sekta ya afya walikuwa wagumu kuelezea changamoto zinazowakabili lakini saizi wananchi na viongozi wamekuwa na elimu ya kutosha juu ya kueleza changamoto zilizopo katika sekta hiyo ndio maana vitu vingi vinaibuka muda huu” alisema Kapinga

Kapinga alisema licha ya serikali kufanya juhudi kutatua changamoto ili kuto huduma ya afya bora lakini bado sekta hiyo inaendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinakwamisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.

“Ukiangalia tafiti nyingi zinaonyesha kuwa serikali imekuwa ikishindwa kuongeza bajeti ya sekta ya afya ili kufikia asilimia 15 ya bajeti yote ya serikali kwa kuzingatia azimio la Abuja” alisema Kapinga
 Mkurugenzi wa Miradi wa Tacosode, Theofrida Kapinga akizungumza jambo wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa valentine mkoani Iringa
Afisa mchechemzi wa mradi Abrahm Kimuli akiendelea kutoa elimu kwa wanasemina walikuwa wamehudhuria katika ukumbi wa valentine
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mijadala ya sekta ya afya na jinsi gani wanaweza kutatua changamoto zinazoweza kuikoa sekta ya afya hapa nchini.



Hivyo makala TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI

yaani makala yote TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tacosode-watoa-dira-ya-kutatua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TACOSODE WATOA DIRA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA HASA VIJIJINI"

Post a Comment

Loading...