Loading...

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam

Loading...
Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam
link : Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam

soma pia


Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam

 Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investment Bw. Ally Nchahaga (katikati) akieleza jambo juu ya Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mkuu Mauzo kutoka Kampuni ya HYUNDAI Bw. Anthony Nyeupe, wa pili ni Meneja Masoko kutoka Kampuni ya Bima ya Britam Insurance Bw. Oscar Ruhasha. Kulia ni Mkuu wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya Lake Oil Ltd, Bw. Aluwy Amar. Tamasha hilo litafanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu katika viwanja vya At The Green Kenyatta Drive, Osterbay, jijini Dar es salaam. 

 Mkuu wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya Lake Oil Ltd, Bw. Aluwy Amar ambao ni wa wadhamini wa Tamasha la Magari Tanzania akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu bidhaa mbalimbali watakazokuwa nazo katika tamasha hilo leo jijini Dar es salaam. Kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investment Bw. Ally Nchahaga. Kushoto ni Meneja Maendeleo kutoka Kampuni ya Jan’s Group Bw. Abdul Wahab. Tamasha hilo litafanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu katika viwanja vya The Green Kenyatta Drive, Osterbay.  
Meneja Maendeleo kutoka Kampuni ya Jan’s Group Bw. Abdul Wahab akieleza jambo juu ya Tamasha la Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya Lake Oil Ltd, Bw. Aluwy Amar. Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya The Green Kenyatta Drive, Osterbay jijini Dar es Salaam kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu. 
(Picha na Thobias Robert- Maelezo)


Hivyo makala Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam

yaani makala yote Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tamasha-la-magari-tanzania-autofest.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) kufanyika kuanzia Oktoba 27 hadi 29 mwaka huu at The Green Kenyatta Drive, Osterbay, Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...