Loading...

TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA

Loading...
TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA
link : TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA

soma pia


TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA

Mwambawahabari

Simba wanajiuliza watamzuia vipi Ibrahim Ajib, lakini taarifa nyingine mbaya kwao ni kurejea uwanja kwa mshambuliaji Amissi Tambwe.

Tambwe ndiye mshambuliaji aliyewafunga mabao mengi dhidi ya Simba katika kikosi cha sasa cha Yanga.

Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina ameiambia tovuti ya Mwanaspoti.co.tz kuwa Tambwe amepona majeraha yake na sasa yuko sawa anasubiri kuingia kambini na wenzake.

Lwandamina alisema mshambuliaji huyo mkongwe ataongozana na kiungo na nahodha msaidizi wa timu hiyo Thabani Kamusoko kuingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba.

Alisema bado hajajua kama Tambwe atacheza mchezo huo, lakini endapo atamuona yuko tayari hatasita kumpa nafasi kutokana na mshambuliaji huyo.

 "Nimeambiwa Tambwe naye amepona kabisa na ametaka kuingia kambini kwetu ni taarifa njema ambazo kila mmoja angependa kusikia  ni mchezaji anayependa kufanya kazi,"alisema Lwandamina.

"Tutakutana naye kambini nafikiri atakuja pamoja na Kamusoko ambaye naye ametuambia ataingia kambini baada ya kumaliza matibabu yake salama."


Hivyo makala TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA

yaani makala yote TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tambe-ajidhatiti-kukabiliana-na-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAMBE AJIDHATITI KUKABILIANA NA SIMBA"

Post a Comment

Loading...