TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERUlink :
TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU
soma pia
TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt LUGANO WILSON, akiambatana na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika hilo kutoka Ofisi ya Uhusiano makao makuu, Kitengo cha udhibiti wa Upotevu Mapato makao makuu na mkoa wa Arusha , na Kitengo cha Usalama pamoja na Wenyeji TANESCO arusha katika Oparesheni Maalum ya Kuwafichua wezi wa Umeme Katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Kwenye Oparesheni hiyo, ambapo Ukaguzi huo umefanikisha Kuwakamata Zaidi ya Watuhumiwa 20 waliobainika Kujihusisha na Wizi wa Umeme Kwenye Wilaya hiyo ya Arumeru.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa Shati la Pinki akisikiliza kwa umakini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wakati wa Oparesheni hiyo.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akiwa Kwenye Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akifuatilia namna Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) Dkt LUGANO WILSON, aliyevaa shati la Pinki akitoa maelekezo Wakati wa Oparesheni ya Kuwakamata watuhumiwa wa Wizi wa Umeme katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Hivyo makala TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU
yaani makala yote TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tanesco-yafanya-oparesheni-ya-kubaini.html
0 Response to "TANESCO yafanya Oparesheni ya Kubaini Wizi wa Umeme, ARUMERU"
Post a Comment