Loading...
title : Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
link : Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI AMS
Alfalah Muslim School inatangaza nafasi ya kazi zifuatazo:
1.Mwalimu wa lugha ya Kiingereza nafasi moja
2. Mwalimu wa hesabati nafasi moja
Sifa:
-Awe amepata mafunzo ya ualimu cheti au diploma kwa muktadha wa solo husika
Pahala pa kazi- Alfalah Primary School
3.Mwalimu wa masomo ya biashara nafasi moja
4.Mwalimu wa Hesabati na Fikizikia au Hesabati na Kemia
Nafasi mbili
5.Mwalimu wa sayansi ya komputa (IT), nafasi moja
Sifa:
Awe amehitimu ngazi ya Stashada au Shahada ya ualimu kwa masomo husika
Pahala pa kazi: Alfalah Muslim Sekondari
Maombi yatumwe kwa Mkurugenzi, Alfalah Muslim School
,Mombasa, Zanzibar si zaidi ya tarehe 15 Novemba na usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 2 Disemba
Hivyo makala Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
yaani makala yote Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tangazo-la-nafasi-ya-kazi-ya-ualimu-al.html
0 Response to "Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School"
Post a Comment