Loading...
title : Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa
link : Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa
Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan Kolimba akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya Umoja wa Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kulia ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya Umoja wa Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan Kolimba na kushoto ni Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa toka Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Selestine Mushi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Susan Kolimba (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya 72 ya Umoja wa Mataifa ambayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kulia ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez na kushoto ni Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa toka Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Selestine Mushi. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo.
Hivyo makala Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa
yaani makala yote Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tanzania-kuadhimisha-miaka-72-ya-umoja.html
0 Response to "Tanzania kuadhimisha miaka 72 ya Umoja wa Mataifa"
Post a Comment