Loading...

TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI

Loading...
TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI
link : TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI

soma pia


TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla amesema  Tanzania na Nchi ya Oman zimefanya mazungumzo katika kuimalisha sekta ya Utalii hasa kwenye Utalii wa kukuza Utamaduni na ule wa Kihistoria uliokuwepo miaka mingi kwa Mataifa hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla amebainisha hayo jioni ya jana Oktoba 18,2017, wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye maonyesho ya nyimbo na ngoma za Taifa la Oman yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo pia tukio lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri na viongozi wa Taifa hilo la Oman ambao wapo Nchini kwa ziara ya kusambaza Ujumbe wa Amani na Upendo kupitia meli ya kifahari ya Mfalme wa Oman Mhe. Qaboos bin Said ‘Fulk Al Salamah’.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokuwa akiwasili kwenye tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam.
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akiongea  na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily, wakati akishuhudia tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
 Bendi ya Jeshi la Taifa la Oman wakipiga nyimbo za Taifa hilo zinazofanyika wakati wa vita na ukombozi
 Baadhi ya wananchi wakiwa na bendera za Taifa la Oman na Tanzania wakishuhudia tukio hilo
 Baadhi ya Askari wa kikosi Maji cha Oman wakiwa katika tukio hilo.



Hivyo makala TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI

yaani makala yote TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tanzania-na-oman-kuanzisha-utalii-wa_19.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZANIA NA OMAN KUANZISHA UTALII WA PAMOJA WA KIHISTORIA NA UTAMADUNI"

Post a Comment

Loading...