Loading...
title : TANZIA Dallas Texas Marekani
link : TANZIA Dallas Texas Marekani
TANZIA Dallas Texas Marekani
Ndugu Wanajumuiya,
Kwa masikitiko makubwa mwanajumuiya Dr. Lindah Mhando na familia yake wa State College, Pa wanatangaza kifo cha mdogo wake *HAPPY OKOTH* kilichotokea Dallas, TX.
Happy alipatwa na mauti wakati akisikiliza maombi jioni ya Prayer Line ya Ijumaa October 27, 2017 pale Baylor Hospital Plano, TX alipokuwa amelazwa. Mama yake mzazi, Mama Elizabeth Okoth, alikuwa pamoja naye.
Mipango ya Mazishi na taratibu zote zinaendelea na jumuiya itajulishwa yatayojiri.
Kwa sasa ndugu, jamaa na marafiki wanafika kuhani nyumbani kwa marehemu:
Advenir at Frankford Springs
Dallas, TX 75287
Kwa taarifa zaidi, wasiliana na:
Ps. Steve Momoh 214-830-8459*(Husband)
Rosemary Adelaja2147620270
Michael Nnadi 8628497980
Peter Mhando 8144043781
Jessica Kataraiya 214773-6697
Eric Joshua 2145768903
Mama Mponzi 9174491607
Taarifa zaidi zitafuata baadae.
UONGOZI unachukua nafasi hii kutoa pole kwa familia nzima ya marehemu. Tukumike pamoja kuiweka familia katika maombi wakati wa kipindi hiki kigumu. AMEN
Hivyo makala TANZIA Dallas Texas Marekani
yaani makala yote TANZIA Dallas Texas Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA Dallas Texas Marekani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tanzia-dallas-texas-marekani.html
0 Response to "TANZIA Dallas Texas Marekani"
Post a Comment