Loading...
title : TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA
link : TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA
TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, juzi Jumapili ilizindua rasmi kampeni mpya ijulikanayo kama Tumekusoma sambamba na uzinduzi wa namba mpya ya menu iliyorahisishwa *147*00#. Menu hii mpya itamuwezesha mteja kupata huduma mbalimbali kwa urahisi. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2017 mjini Moshi.
Hivyo makala TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA
yaani makala yote TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tigo-yazindua-tumekusoma.html
0 Response to "TIGO YAZINDUA TUMEKUSOMA"
Post a Comment