Loading...

TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

Loading...
TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA
link : TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

soma pia


TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA


Na Fredy Mgunda,Iringa

Wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wametoa msaada wa mashuka sabini na tano na vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi 1,672,500 katika hospitali ya Tosamaganga iliyopo katika katta ya kalenga mkoani Iringa kwa lengo la kuendelea kuboresha sekta ya afya ikizingatiwa kuwa wengi wao waliwahi kutibiwa hapo wakati wanasoma.

akizungumza wakati wa hafla ya kukadhi msaada huo mwenyekiti wa kamati ya Tosamaganga Alumni association ambaye pia ni mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Umoja Switch inayotoa huduma ya mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali nchini, Danford Mbilinyi alisema kuwa walijipanga kuja kutoa msaada huu kwa kuwa wangi wao walikuwa wanatibiwa katika hospital hiyo wakati wakiwa masomoni miaka mingi iliyopita.

“Leo hii tunaafya njema kwa ajili tulitibiwa vizuri kipindi tulivyokuwa tunaumwa na ilitusaidia kufanya vizuri masomo yetu na ndio maana leo hii tupo hapa bila kupata huduma iliyobora nafikiri wengi wetu tusinge kuwa hapa” alisema Mbilinyi

Mbilinyi alisema kuwa wamechangisha kidogo walichopata wameamua kununua vifaa hivyo ambavyo wanafikiri vitakuwa na msaada kwa wagonjwa waliopo hospitalini hapo.

“Hiki kidogo tu lakini tunajua kwa namna moja au nyingine vinaweza kuwasaidia wagonjwa na kuwapunguzia mzigo uongozi wa hospitali yetu pendwa ambayo imekuwa ikitutibu kwa muda mrefu sana kipindi tukiwa masomoni katika sekondari ya Tosamaganga” alisema Mbilinyi.
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wakiwa wanajadili kitu walipokuwa kwenye ziara ya kuitembelea shule waliyosoma
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wakiwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Tosamaganga mkoani Iringa
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wakiwa katika hospital ya Tosamaganga.





Hivyo makala TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

yaani makala yote TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tosamaganga-alumni-association-watoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TOSAMAGANGA ALUMNI ASSOCIATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SH MILION MOJA LAKI SITA KATIKA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA"

Post a Comment

Loading...