Loading...
title : UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.
link : UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.
UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.
Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange 'Kaburu' wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kesi inayowakabili ya utakatishaji fedha na kugushi kuahirishwa hadi Oktoba 11,2017 kwaajili ya upelelezi kutokukamilika.
Evans Aveva na makamu wake, Geofrey wanakabiliwa na mashtaka matano ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha Dola za kimarekani 300,000.
Hivyo makala UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.
yaani makala yote UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/upelelezi-wa-kesi-ya-rais-wa-simba-na.html
0 Response to "UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA."
Post a Comment